Monday, December 24, 2012

RIHANNA ACHANGIA HOSPITALI $1.75 KAMA KUMBUKUMBU YA BIBI YAKE

Msanii wa kike toka nchini Marekeni amechangisha kiasi cha dola za kimarekani milioni moja na pointi sabini na tano ($1.75mill) katika hospitali ya barbados ikiwa ni katika kumuhenzi bibi yake kipenzi Dolly aliyefariki kwa ugonjwa wa Cancer.
Mwanamziki huyo wa kike alifika katika hospitali hiyo siku ya Jumamosi, akiongozana na mama yake Monica Fenty pamoja na babu yake mzee Lionel.

0 comments: