Monday, July 23, 2012

CHUJI AIPELEKA YANGA NUSU FAINALI

Mkongwe Chuji afanikiwa kuwavusha watoto wa Jangwani kwenda nusu fainali katika michuano ya Kagame inayofanyika jijini Dar es salaam. Mechi ilikuwa ya vuta nikuvute kati ya Yanga ya jijini Dar es salaam na Mafunzo toka Zanzibar, iliyopelekea hadi kufukia dakika 90 mechi kuwa bao 1-1. Hali hii ilipelekea Refa kuamuru yapigwe matuta, na mwisho wa siku Yanga ikaibuka kidedea.
Kwa matokeo haya Yanga itakutana na APR toka Rwanda katika Nusu fainali

0 comments: