Tuesday, July 24, 2012

Simba akubali kuchezewa sharubu na Azam FC

Ilikuwa ni katika shika nikushike leo katika uwanja wa Taifa, pale Simba FC alipokubali kuuza Ice Cream za Azam kwa kufungwa mabao 3 - 1. Ushindi huu umempleka Azam moja kwa moja Nusu fainali katika michuano ya Kagame Cup 2012.
Bocco ndiye aliyetupia mabao yote ya simba katika dakika za 17, 46 na 73. Hongera Azam, hongera Bocco.

0 comments: