Thursday, July 26, 2012

YANGA FC YATINGA FAINALI KUIKABILI AZAM FC

Bao moja mtu lililofungwa na mchezaji Hamis Kiiza limetosha kuivusha Yanga kwenda Fainali katika michuano ya Kagame 2012.  Kiiza aliipatia timu yake ya Yanga bao hilo zidi ya APR toka Rwanda katika dakika ya 100 baada ya timu zote kuchoshana nguvu ndani ya  dakika  tisini. Kiiza alimalizia krosi iliyopigwa na Haruna Niyonzima na hatimaye bao hilo kupatikana. Hongera watoto wa jangwani.

0 comments: