Tuesday, July 17, 2012

WATOTO WAJANGWANI WATISHA

Wakiwa ndiyo mabingwa watetezi wa kombe la Klabu bingwa Afrika mashariki (KAGAME)  Young Africa leo imefanya kufuru kubwa katika michuano ya kombe hili inayoendelea. Katika mchezo uliyochezwa leo katika uwanjwa wa Taifai  kati ya Yanga na WAU Salaam tokea Sudani Yanga imeicharaza timu ya WAU mabao saba  (7) kwa moja (1)
Young Africans ilianza mchezo kwa kasi na kucheza pasi za kuonana, kwa dakika  .kumi za mwanzo huku ikifanya mashambulizi ya kushitukiza na katika dakika ya 12, mshambuliaji Said Bahanuzi ailiipatia Young Africans bao la kwanza kwa kichwa kumalizia kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Haruna Niyonzima.

0 comments: