Friday, July 27, 2012

NYIMBO HII INANIKUNA SANAAAA -DIAMOND

Diamond aifungukia jamii ya kitanzania kuhusu mapenzi yake ya dhati juu ya wimbo wa msanii Linex unaofahamika kama Aifola haya ni maneno yake toka katika web site yake; "Hii ni moja kati ya nyimbo ninazozipenda sana toka Nchini kwangu...tena sana, kuanzia Tittle ya Ngoma Mellody,Sauti Hadi maneno yaliyoandikwa humo,.. Navutiwa sana na ubunifu mzuri wa Lugha ya KIHA aliyoichanganya Linex kwa ufundi mkubwa ndani ya nyimbo hii, yote tisa na kumi ni BEAT kali yenye Hisia nyingi sana iliyotengenezwa na FUNDI SAMWELI producer toka Sweeden.. na kwataarifa yako Linex amentumia beat ya nyimbo hii na Nimeiandika nyimbo moja kali saaanaaa.." So kaa mkao wa kula wa nyimbo mpya ya Diamond!

0 comments: