Thursday, July 12, 2012

KAZI NA DAWA WAJAMENI!!!!!!

Kabla ya kupanda kwa steji muhimu kupiga sala wajameni. Hapa mkali Diamond akipiga ibada pamoja na wasafi Crew kabla ya kupanda kwa steji katika tamasha la kumi na tano la ZIFF lililofanyika  pande za Zanzibar. Tamasha hili ushirikishanaji wa sanaa katika nchi zote za majahazi duniani. Chukua hiyooooo!

0 comments: