Wednesday, May 8, 2013

BYE BYE FERGUSON

Ikiwa imetimia robo karne tangu aanze kuinoa timu ya Manchester United, The super Coach Sir Alex Ferguson atangaza rasmi kuacha kuifundisha timu hiyo. Ferguson mwenye umri wa miaka 71 aliingia Manchester tangu mwaka 1986 kama kocha wa timu hiyo.
Ferguson tangu aingie katika club ya Man United, ameweza kufanya mengi makubwa ikiwemo kuipatia ushindi wa ligi kuu Man United mara 20.
Wadau wa soka wanahoji, je!? Ni nani ataku Davidwa mrithi wa Ferguson? Maana hapo awali kulikuwa na tetesi za uenda kati ya Jose Morinho, Pep Guardiola, au David Mayes akachukua nafasi hiyo.
Kati yao Mayes ananafasi kubwa kuitwaa nafasi hii hadimu. Ferguson anaachana na kuifundisha Man United na kujiunga na bodi ya club hiyo,na pia kuwa mjumbe wa club.
HONGERA MKUBWA FERGUSON ASANTE SANA FERGUSON

0 comments: