Friday, May 17, 2013

NI YANGA AU SIMBA?

Ikiwa yamebakia masaa kadhaa tu ili kufika ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu zote na mashabiki wa timu za Simba na Yanga za jijini Dar es salaam, ili kujua nani mbabe kati yao. Timu ya Yanga wataingia uwanjani wakiwa na kumbukumbu ya kupigwa mabao 5 kwa sifuri na watani wao hao.
Je nani bingwa? Tuache dakika 90 ziseme hapo kesho majira ya saa kumi alasiri.

0 comments: