Saturday, May 18, 2013

Yanga amnyonyoa manyoya Simba!

Dakika 90 zimekwisha, Yanga 2, Simba 0. Hivyo ndivyo Simba alivyokubali kulowa mbele ya Yanga. Kiiza ndiye aliyeizamisha Simba kwa bao la pili katika dakika ya 63, na kuthibitisha kuwa Yanga ndio mabigwa wapya wa ligi kuu Tanzania bara. Ingawaje leo ilikuwa ni siku ya kutimiza ratiba kwani timu ya yanga walikisha utwaa ubigwa mapema.

0 comments: