Wednesday, May 15, 2013

CHELSEA WAIBUKA KIDEDEA

Mbele ya mashabiki 53000, Chelsea imedhihirisha kuwa mbabe wa club ya Benfica toka Ureno, kwa kuichalaza timu hiyo mabao mawili kwa moja. Magoli hayo kwa upande wa Chelsea amefunga Fernando Torres na Ivanovic, huku Cardozo akiipa Benfica bao moja la kufutia machozi.
HOGERA CHELSEA

0 comments: