Sunday, May 5, 2013

MLIPUKO ULIVYOATHIRI KANISA JIJINI ARUSHA

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa leo huko Arusha katika kanisa katoliki parokia ya Olasisi. Hali hii imetokea asubuhi ya leo na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine kujeruhiwa.
Mkuu wa mkoa Mheshimiwa Magesa, ameliagiza jeshi la polisi mkoani humo kuwabaini waliosababisha tukio hilo na kuwafikisha katika mikono ya sheria maramoja.

0 comments: