Monday, May 6, 2013

DIMOND NA PENNY MAMBO POA!

Msanii anayetikisa kwa sasa katika muziki wa Bongo Flava "Diamond" amezidi kuonesha mapenzi moto moto kwa mpenzi wake mpya "Pennyl". Leo ikiwa ni Birthday yake Penny Diamond ametuma jumbe zenye mashiko ya kimahaba kwa mwenzi wake huyo kupitia mitandao ya facebook na Instagram, mmoja wa ujumbe huu ni huu ulio kwenye picha yao ya pamoja.
BC CREW INAWATAKIA MAHUSIANO MEMA.

0 comments: