Wednesday, May 2, 2012

Afande _ "VIPARA, VITAMBI AU RASTA SIYO SABABU YA KUWA KIONGOZI"

Afande Sele a.k.a mtu poli toka Moro awaelezea watanzania juu ya uwezekano wake wa kugombania ubunge mkoani Morogoro a.k.a mji kasoro bahari. Afande amezungumza hilo sanjari na tukio lake la juzi la kupigwa na polisi na wagambo lilompelekea kusweka jela. Haina mbaya mkubwa kila la kheri katika mbio hizo za ubunge mheshimiwa!

BC Crew

0 comments: