Saturday, May 12, 2012

STEREO ATARAJI KUANZISHA CREW YAKE

Baada ya kudondosha ngoma mpya mtaani ifahamikayo kama "mswahili" Stereo sasa anategemea kuanzisha kundi lake. Akibonga na Bongo Corner Stereo alifunguka hivi, "Nataka kutengeneza Crew yangu kama tu nitapata watu wanaojua kuchana zaidi yangu". Lakini Stereo amesisitiza kuwa yeye ni bado yupo MLAB. Kila kheri kaka.

BC Crew

0 comments: