Monday, May 21, 2012

MAFISANGO APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa Simba SC Patrick Mwafisango jana ulizikwa katika makaburi ya Kinkole nje ya jiji la Kinshasa.
Mafisango ameacha mke na watoto watatu ambao wote walikuwapo jana katika mazishi.
Mungu ailaze roho ya Mafisango mahali pema peponi. Amina.
BC Crew

0 comments: