Monday, May 7, 2012

TUHUMA ZA UTAPELI ZIDI YA RICH ONE

Mtu mzima Rich One aeleza kinaga ubaga tuhuma zilizopo dhidi yake juu utapeli. Msanii wa Bongo Flava Rich One hivi karibuni aliswekwa selo kwa siku moja baada ya kutuhumiwa kufanya utapeli juu ya msanii mwenzake Alli Kiba. Rich One amekana tuhuma hizo na hadi sasa kesi ipo bado chini ya uchunguzi wa polisi na Rich One yupo nje kwa dhamana. Kaa nasi kwa habari zaidi.

BC Crew

0 comments: