Friday, May 18, 2012

MAFISANGO KUZIKWA CONGO

Aliyekuwa mchezaji wa Simba Patrick Mafisango, ambaye juzi alipata ajari ya gari na jana kuagwa katika viwanja vya Chang'ombe Dar-es-salam apelekwa DRC kwa mazishi. Mafisango alifariki juzi njiani akipelekwa hospitali baada ya kupata ajali hiyo ya gari.
Mafisango amezaliwa tarehe 19March, 1980 huko Kinshasa Zaire na kufariki tarehe 17May, 2012 Dar-es-salaam. Mafisango aliwaichezea timu za TP MAZEMBE, APR, ATRACO, AZAM na kumalizia Simba kama midifielder.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA.

BC Crew

0 comments: