Monday, May 7, 2012

HAKUNA BIFU!

"Hakuna ugomvi wowote kati ya Izzo Buzness na Roma" hii ni kauli yake Izzo Buzness aliyoitoa kwa media hii leo na jamaa amesisitiza kuwa wao ni marafiki wakubwa na isitoshe wote wametoka sehemu moja yaani Mbeya. Izzo amesema ilikuwa ni ishu ya bihashara tu kukuza vyao vipato na majina mjini hapa.

BC Crew

0 comments: