Monday, June 3, 2013

ANAKONDA NI JUNE 14

Msanii Lady Jaydee A.K.A "Anaconda" ametangaza rasmi tarehe yake ya kufanya show ya Miaka13 toka ameanza kufanya muziki kuwa ni siku ya Ijumaa ya Tarehe 14 mwezi Juni, baada ya kuairisha show yake kufuatia kifo cha Msanii Albert Mangwea kilichotokea siku ya tarehe 28 huko Afrika Kusini. Lady Jaydee amesema sababu ya kuchagua siku hiyo ni kwamba siku ya Tarehe 13 Atakwenda Mahakamani kusikiliza Kesi inayomkabili na siku inayofduta itakuwa show ya Miaka kumi na 13 na tarehe 15 atasherehekea siku yake ya kuzaliwa.

0 comments: