Thursday, June 13, 2013

IVORY COAST KUWASILI LEO USIKU

Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Ivory Coast, inataraji kuingia katika anga la Tanzania leo usiku. Ivory Coast inawasili nchini Tanzania kwaajili ya mechi na Taifa Stars siku ya Jumapili, tarehe 16/06/2013.
Mechi hii ni mchuano wa kufuzu kwenda kucheza kombe la dunia mwakani 2014, nchini Brazil.

0 comments: