Saturday, June 15, 2013

BREAKING NEWS: BOMU LALIPUKA NA KUUA WANNE JIJINI ARUSHA

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka Arusha ni kwamba, kumetokea mlipuko mkubwa kwenye mkutano wa chadema na kuua watu wanne. Chadema ilikuwa ikifanya mkutano wake wa mwisho wa kampeni za uchaguzi mdogo jijini humo.
Mkutano huu uliudhuliwa na mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe na viongozi wengine.

0 comments: