Monday, June 17, 2013

DONGE NONO LA MILIONI 100 KWA ATAKAYEMFICHUA MLIPUA MABOMU

Serikali kupitia bunge imetangaza donge nono kwa mtu yeyote atakaye mfichua mtu au kikundi cha watu kilichohusika na mlipuko uliotokea jijini Arusha.

0 comments: