Thursday, June 13, 2013

BREAKING NEWS: LANGA AFARIKI DUNIA

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa Hip Hop Tanzania, anayefahamika kwa jina la Langa amefariki dunia leo hii,masaa machache yaliyopita. Chanzo chetu kinasema, Langa alipelekwa hospitali ya Muhimbili hapo jana, baada ya kupatwa na malaria kali.
ENDELEA KUKAA NASI KWA HABARI ZAIDI!

0 comments: