Sunday, June 16, 2013

TAIFA STARS YAFA KISHUJAA

Timu ya Tanzania (Taifa Stars) imekufa kishujaa leo ndani ya uwanja wa Taifa katika michuano ya kufuzu kuelekea kombe la dunia. Taifa Stars ilikuwa ikikipiga na Ivory Coast na matokeo ni Ivory Coast nne na Stars mbili.
Kutokana na matokeo hayo Ivory Coast imesonga mbele na njia kwao ni njeupe.
Hongera Stars kwa kazi mliyoifanya!

0 comments: