Sunday, June 9, 2013

DEAR GOD YAMNG'ARISHA KALA JEREMIAH

Msanii jala Jeremiah siku ya jana ameng'ara ile mbata kwa kuzizoa tuzo za Kilimanjaro Music Awards. Kala ambaye amejinyakulia tuzo tatu za heshima ambazo ni, tuzo ya wimbo bora wa mwaka, tuzo ya msanii bora wa hip hop na mtunzi bora wa mashahiri ya hip hop, alijikuta akipagawa kwa furaha juu ya jukwaa.
H

0 comments: