Monday, June 3, 2013

WATANZANIA AFRIKA KUSINI WAMUAGA NGWAIR

Majonzi na simanzi ndiyo yaliyotawala wakati wa kumuaga ndugu yetu mpendwa Albert Mangweha. Ndugu zetu watanzania wanaoishi Afruka ya Kusini walichukua nafasi yao katika kuakikisha wanamsindikiza ngugu,rafiki yao Ngwair akalale mahali pema peponi.
R.I.P bro Mangwair!

0 comments: