Monday, June 10, 2013

MSANII WA FILAMU NA MAIGIZO JAJI KHAMIS (KASHI) AFARIKI DUNIA


Ni msanii mkongwe katika tasnia ya maigizo.alianza kuvuma katika michezo ya maigizo kama chungu tamu,wimbi,chozi,hatia na mingineyo iloyokuwa ikilushwa na kituo cha ITV.amefariki leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

0 comments: