KARIBU BONGO CORNER ENTERTAINMENT GROUP

Karibu katika site yako iliyo bora na inayokuletea habari mbalimbali zinazoigusa dunia katika nyanja ya burudani zaidi. Kaa mkao wa kuburudika zaidi ndani ya Bongo Corner!!! More

Sunday, July 1, 2012

MARIO BALLOTELI AKIIANGALIA SPAIN!

Leo mtoto atumwi dukani kwani ule utata wa  Euro leo ndo unapata ufumbuzi. Ni Spain na Italy yaani Huku Balloteli ndani ya Italy na kule Iniesta ndani ya Spain. Kaa mkao wa kula!

Friday, June 22, 2012

WADAU WA BONGO CORNER KATIKA POZI

Kutoka kushoto ni Maggy, Mkina, Julie na Josephne.
BC Crew

WADAU WA BONGO CORNER KATIKA POZI

Julieth, Maggy na Josephne katika picha.

BC Crew

Tuesday, June 19, 2012

DIAMOND NDANI YA PRADO MPYAAAA!

Diamond kijana msafi atupia milioni 60 za kitanzania kutungua prado yake kiswaku toka bandarini. heko kaka!

Monday, June 18, 2012

MNYIKA ATOLEWA BUNGENI LEO

Akisoma sheria na kanuni za bunge naibu spika John Ndugai alimuamuru mbunge wa Chadema John Mnyika kutoka nje ya bunge. Hii ilikuwa ni kutokana na mhe Mnyika kumwita raisi kuwa ni dhaifu na kukataa kufuta kauli yake. Naibu spika alimuamuru atoke nje mara moja mpaka kikao cha kesho saa tatu asubuhi. Hali hii ilipelekea wabunge wa upinzani kutokubaliana nalo.
"NAKUPENDA TANZANIA!"

Saturday, June 16, 2012

NEY WA MITEGO AMDISS CHID BENZ

Pata kutazama video yake hapa!

Friday, June 15, 2012

BLOGGER MORNING STAR TZ KATIKA POZI

Mmiliki wa blog ya Morningstartz akiwa katika sherehe ya graduation ya ICF iliyofanyika katika chuo cha uhasibu Arusha kama mtainiwa. Hongera morningstartz master kwa kugraduate!

BC Crew

WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KATIKA SHEREHE YA ICF

Kutoka kushoto ni Malisa,Ruby,Chalesna Mkina Mkina A. Wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya graduation ya ICF

BC Crew

WELBECK SENDS SWEDEN HOME!

The super sub Theo Walcott at 64 minutes scored a second goal for England which then lead to 2-2 goals for England against Sweden. The Liverpool striker Andy Carrol sent England into a first half lead with a powerful header at first 23 minutes. Sweden however improved dramatically after the break and after Glen Johnson failed in his attempt to keep Olof Mellberg's finish out, the Olympiakos defender headed home a second to put Erik Hamren's team in front.
The 23-year old darted in between two Sweden defenders before lifting a precise cross into Welbeck who got in front of his marker before beating Isaksson with a sublime flick with his heel.
Welbeck's winner ensured Sweden's departure from the competition with one group game, against France, still to play, but England march on and they will enter their final first round fixture against Ukraine requiring only a draw to move on.

BC Crew

Thursday, June 14, 2012

Spain 4-0 Ireland: Torres leads procession as Trapattoni’s men are eliminated

Republic of Ireland are heading home from Poland and Ukraine after a 4-0 defeat at the hands of Spain in a Euro 2012 Group C encounter in the PGE Arena in Gdansk on Thursday evening.
Fernando Torres, omitted from the starting lineup in the first match, scored a brace and David Silva and Cesc Fabregas each bagged a goal in a match that saw total Spanish domination from start to finish.
Each side had made just one change from its previous Group C match, with Torres and Simon Cox being introduced to the action in place of Fabregas and Kevin Doyle, and it was the two strikers who made an immediate impression at the start of the match.
Cox tested the gloves of Iker Casillas in the first minute of the game with a well-struck shot from the edge of the area that was competently saved by the Spain captain. Torres did one better and gave the holders the lead just four minutes into the match, providing the nightmare start the Irish had feared.
The Chelsea man pounced on some uncertain defending on the edge of the box from Richard Dunne to drive through into the box and smash a vicious strike past Shay Given from the right-hand side of the goal, giving La Roja an early lead.
With Vicente del Bosque’s side camped outside the Irish box for the majority of the first 45 minutes, Given was forced into making a couple of decent saves from long-range shots, but the Aston Villa goalkeeper remained solid to deny strikes from Xavi , Gerard Pique, and Andres Iniesta from outside the area.
Spain went through the first half in total domination of possession, with Xabi Alonso and Xavi controlling the match in central areas. However, the comfortable nature of its play somewhat lacked a cut-throat mentality, which kept the difference between the sides at just one goal heading into the break.
Del Bosque’s half time team talk seemed to induce confidence in the world champions, as it managed to double its lead just four minutes into the second period when the Irish shot themselves in the foot again with some sloppy defending. Silva latched on to a poor Given punch inside the penalty area and coolly passed the ball through the legs of Richard Dunne into the corner, giving Trapattoni’s men a mountain to climb.
Halfway through the second half Ireland began to look more of a threat, with substitute Jon Walters providing a decent physical presence in the box. However, as they pushed forward in an attempt to claw a goal back, Spain looked dangerous on the counterattack, which ultimately led to their third goal of the match.
Silva pounced on a lackadaisical touch from Aiden McGeady inside the center circle and slipped a pass through the middle for Torres, who confidently strutted forward and curled a shot into the right corner.
Fabregas heaped on the misery for Ireland in the 82nd minute after drifting into the area from the right and unleashing a thunderous strike off the corner past Given.
Spain now heads in to the last match on Sunday against Croatia in pole position to qualify from Group C as group winners. Republic of Ireland take on Italy as Trapattoni’s men aim to generate some pride in their last match of Euro 2012.

Di Matteo confirmed as Chelsea boss

Di Matteo has installed as a caretaker manager after the sacking of Andre Villas-Boas part way through last season, but became a fan favorite for the permanent job after winning the double during his short time in charge.
“Roberto’s quality was clear for all to see when he galvanized the squad last season and helped the club make history, and the owner and board are very pleased he will be continuing his good work,” Chelsea’s chief executive, Ron Gourlay, told the club’s official website. “We all believed he was a young coach with much to offer when we first asked him to take charge of team affairs in March and the manner in which he worked with us, the players and all the staff, and the success that followed, made him the clear choice when it came to selecting the person to take us forward in the seasons to come.
“We will be working closely with Roberto in the weeks ahead, some exciting signings have already been made and Roberto has had input into those. Although he has set the bar very high in the short time he has been in charge, we know that Roberto is the right man to lead Chelsea onto further success.”
Di Matteo was also pleased to have been given the role but is focusing on next season instead of looking back at his achievements with the club in the previous campaign.
“I’m obviously delighted to have been appointed as manager and first team coach,” he said. “We all achieved incredible success last season that made history for this great club. Our aim is to continue building on that and I’m already planning and looking forward to the squad’s return for preseason.”

SERIKALI YALIVALIA NJUGA SWALA LA HATI MILIKI KWA WASANII TANZANIA

Akitoa hoja ya serikali kupitia bunge la nane, waziri wa fedha Dk. William Mgimwa, aeleza
adhma ya serikali kutilia mkazo katika swala la hati miliki kwa wasanii Tanzania. Dk. Mgimwa asema serikali sasa imedhamiria kuona wasanii wanapata wanachostahiki kutokana na kazi zao. Kazi kwenu wanasanaa Tanzania.
BC Crew

Wednesday, June 13, 2012

PORTUGAL TOOK A STEP TOWARD EURO 2012 QUARTER FINALS

This was after surviving a Denmark fight back to win 3-2 in group B.
Real Madrid defender Pepe was the fist one to score the first goal against Denmark at 24 min of the first half.
Nine minutes before the half time break Bentos's team made it 2-0 when helder Postiga sided-footed home from close range.
Dahli gave Denmark the first goal, the game end with Portugal 3- Denmark 2.


BC Crew

Sunday, June 10, 2012

BOB MAKANI AFARIKI DUNIA

Mwasisi wa Chadema na mwanasheria mkuu wa Tanzania Bob Makani afariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital ya Agha khani jijini Dar es salaam.
Akizungumza na vombo vya habari mweshimiwa Zitto Kabwe alizungumza yafuatayo, "Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe, Makani alizidiwa ghafla saa 3: 00 usiku wa kuamkia leo na kukimbizwa katika Hospitali ya Aga Khan ambako alifariki dunia saa 4.15 usiku."

Evance Msaki added you to his circles and invited you to join Google+

Evance Msaki added you to his circles and invited you to join Google+.
Join Google+
Google+ makes sharing on the web more like sharing in real life.
Circles
An easy way to share some things with college buddies, others with your parents, and almost nothing with your boss. Just like in real life.
Hangouts
Conversations are better face-to-face. Join a video hangout from your computer or mobile phone to catch up, watch YouTube videos together, or swap stories with up to 9 of your friends at once.
Mobile
Lightning-fast group chat. Photos that upload themselves. A bird's-eye view of what's happening nearby. We built Google+ with mobile in mind.
You received this message because Evance Msaki invited malindajoseph.peter.bccrew@blogger.com to join Google+. Unsubscribe from these emails.

Vitus na Dj Choka katika pozi!

Vitus na Dj Choka

NK PRODUCTION STUDIO MPYA JIJINI DAR-ES-SALAAM

 Studio mpya jijini inayokwenda kwa jina la NK Productions! Iko pande za Mikocheni mtaa wa Migombani jirani na hospitali ya Kairuki. Studio inafanya muziki wa aina zote na hata matangazo pia kwa kutumia vifaa vya kisasa.

 
Unaweza wasiliana kupitia:

Simu:  0714 084 980
          0717 317 402

Thursday, May 31, 2012

WANAFUNZI WA ADBF III TOKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA KATIKA POZI

Wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha wakiwa katika pozi. Toka kushoto ni Ester katikati ni Zenahawa na kulia ni meshack. BC Camera popote ulipo!!

BC Crew

Sunday, May 27, 2012

Beba beba Zanzibar

Ivi ndivo ilivokua leo hukooooo

Ryan Giggs

Hata baada ya kucheza mechi Zaidi ya 638 akiwa na Manchester United Ryan Giggs hajawah kupata red card akiwa na Manchester United, Giggs alipata second yellow card akiwa na timu yake ya taifa Wales katika World Cup Qualifiers dhidi ya Norway FACT.......

FW: PAUL SCHOLES

Over his career Paul scholes received 90 yellow cards and 4 red cards in the premier league making him the third most booked player in the premier league history. He was also booked 32 times in the Champion League, more than any other player in the competition. This is a FACT

FW: PAUL SCHOLES

Mkina Mkina, A

-original message-
Subject: PAUL SCHOLES
From: allenmkaymam@yahoo.com
Date: 27/05/2012 9:41 pm

Over his career Paul scholes received 90 yellow cards and 4 red cards in the premier league making him the third most booked player in the premier league history. He was also booked 32 times in the Champion League, more than any other player in the competition. This is a FACT

Friday, May 25, 2012

BC Crew

MAHAFARI YA DINI YA KUWAAGA WANAFUNZI KATIKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

BC Crew

Wednesday, May 23, 2012

WASHIKA DAU WAISHITAKI FACEBOOK

Washika dau wa kampuni ya mtandao wa kijami wa Facebook wameishitaki kampuni hiyo. Hii ni kutokana na thamani ya mauzo ya facebook kushuka katika soko la hisa la Newyork, na taarifa za kushuka kwa hisa kutolewa kiupendeleo kwa watu wachache.

BC Crew

MNYIKA ASHINDA KESI ZIDI YAKE

Mbunge wa ubungo John J. Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa inamkabili dhidi ya mashitaka yote matano. Hawa Ngumbi ameamriwa na mahakama kumlipa Mjika gharama zote za kesi.

BC Crew

Tuesday, May 22, 2012

Drogba departing Chelsea.

Blues striker confirms Stamford Bridge exit

Image text here
Didier Drogba: Leaving Chelsea after eight years at Stamford Bridge

Chelsea have confirmed Didier Drogba will be leaving Stamford Bridge when his contract expires next month.
Drogba's future has been the subject of intense speculation in the wake of their UEFA Champions League success over Bayern Munich at the weekend.
Reports in France on Monday suggested Drogba was leaving Chelsea, only for his representatives to deny the rumours.
However, it has been confirmed by both Chelsea and the player that they will part ways in June when his deal comes to an end.
The 34-year-old, who scored the winning penalty in the shoot-out victory over Bayern, admitted it was a tough decision to make to leave Chelsea, but he insists he is proud of his eight years at Stamford Bridge.
"I wanted to put an end to all the speculation and confirm that I am leaving Chelsea," Drogba told the club's official website.

Monday, May 21, 2012

MAFISANGO APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MILELE

Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa Simba SC Patrick Mwafisango jana ulizikwa katika makaburi ya Kinkole nje ya jiji la Kinshasa.
Mafisango ameacha mke na watoto watatu ambao wote walikuwapo jana katika mazishi.
Mungu ailaze roho ya Mafisango mahali pema peponi. Amina.
BC Crew

Sunday, May 20, 2012

MARANGU WATERFALLS TOUR

Bc Camera popote ulipo ipo nawewe. Hii ilikuwa ni tour ya marangu, kufanya utarii wa ndani kujua Tanzania ikoje upande wa maliasili zetu. Karibu!

BC Crew

Saturday, May 19, 2012

LIONEL MESSI NDIYE MFUNGAJI BORA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA 2011-2012.

Mshambuliaji machachali wa timu ya Barcelona amenyakua tuzo ya kuwa ndiye mfungaji bora wa UEFA Champions League 2011-2012, kwa kufikisha magoli 14 katika mechi 11 alizofanikiwa kucheza. Messi kutokana na ushindi huu, ameifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na mchezaji Jose Altafini mfungaji bora wa michuano ya ulaya wa mwaka 1962-1963 akitokea timu ya AC Milan.
Messi katika mechi za makundi alifanikiwa kupata mabao 2 toka kwa BATE, 3 toka kwa timu ya Plzen na bao 1 toka kwa Milan.
Katika mzunguko wa pili Messi alifanikiwa kupata mabao mengine 6 baada ya kuinyonga Bayer Leverkusen mabao hayo 6. Messi alipigilia msumari wa jahazi kwa kuongeza magoli mengine 2 na kutimiza idadi ya magoli 14 baada ya kuifunga Milan mabao hayo 2 katika robo fainali ya UEFA.
THANK YOU MESSI!!
BC Crew

CHELSEA BINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2011-2012

Katika uwanja wa Allianz Arena watoto wa Di Matteo The Blues wafanya kweli baada ya kuipiga Bayern Munich mabao 4-3.
Bayern Munich ndio waliokuwa wakwanza kuifunga Chelsea mnamo dakika ya 83 kupitia mchezaji wake Thomas Muller lakini dakika mbili kabla ya dakika 90 kumalizika, Chelsea kupitia mchezaji wake mashuhuri Didier Drogba ilisawazisha na mabao kuwa 1-1.
Hii ilipelekea mechi kwenda dakika 30 za nyongeza ambazo hadi kumalizika kwa dakika hizo, timu zote ziliishia kuchoshana nguvu. Hali hii ilipelekea matuta kupigwa na hatimaye Chelsea akaibuka bingwa.
Drogba kafanikisha kupeleka ubingwa wa ufalme wa ulaya England tangu walipoukosha mwaka 2008 kule Moscow na uteja sasa basiii!.
THANK YOU DIDIER DROGBA, THANK YOU CHELSEA!!

BC Crew

Friday, May 18, 2012

MAFISANGO KUZIKWA CONGO

Aliyekuwa mchezaji wa Simba Patrick Mafisango, ambaye juzi alipata ajari ya gari na jana kuagwa katika viwanja vya Chang'ombe Dar-es-salam apelekwa DRC kwa mazishi. Mafisango alifariki juzi njiani akipelekwa hospitali baada ya kupata ajali hiyo ya gari.
Mafisango amezaliwa tarehe 19March, 1980 huko Kinshasa Zaire na kufariki tarehe 17May, 2012 Dar-es-salaam. Mafisango aliwaichezea timu za TP MAZEMBE, APR, ATRACO, AZAM na kumalizia Simba kama midifielder.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMINA.

BC Crew

Thursday, May 17, 2012

MKUTANO WA CHADEMA UHASIBU ARUSHA

Siku ya kuwaaga wanachama wa Chadema wa mwaka watatu na kuwakaribisha mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu Arusha.

BC Crew

Saturday, May 12, 2012

SHAZI LA WATU LILIKUWA HIVI

Kwakuweka mguu hapakuwepo yaani watu walifunika mbaya pande za Moshi. Hii ilikuwa tour ya Kilimanjaro Premium Lager kuzunguka na washindi wa tuzo mbalimbali za Kili zilizoshindaniwa hivi karibuni. Mmetisha wazazi!

BC Crew

TAARABU NAO WATIA FUNIKO LA CHUMA NDANI YA MOSHI!

Bibie Khadija Kopa akitia nakshi nakshi kwa jukwaa ndani ya Moshi.

BC Crew

Ali Kiba na Omy Dimpoz kwa jukwaa.

Wawili hawa nao walifanya ajizi pande za Moshi.

BC Crew

SUMALEE NAYE AMETISHA MBAYA!

Mzee wa akunaga naye alithibitisha kuwa haukuna zaidi yake.

BC Crew

ROMA MKALI WA HIP HOP AFUNIKA MOSHI

Roma mkatoliki afunika mbaya Moshi, mathematics imewapagawisha mbaya macharii wa pande za Moshi. Hii ilikuwa katika tour ya Kilimanjaro Premium Lager ya kuwatembeza washindi wa tuzo mbalimbali karbu miji yote mikuu nchini Tanzania.

BC Crew

STEREO ATARAJI KUANZISHA CREW YAKE

Baada ya kudondosha ngoma mpya mtaani ifahamikayo kama "mswahili" Stereo sasa anategemea kuanzisha kundi lake. Akibonga na Bongo Corner Stereo alifunguka hivi, "Nataka kutengeneza Crew yangu kama tu nitapata watu wanaojua kuchana zaidi yangu". Lakini Stereo amesisitiza kuwa yeye ni bado yupo MLAB. Kila kheri kaka.

BC Crew

Monday, May 7, 2012

HAKUNA BIFU!

"Hakuna ugomvi wowote kati ya Izzo Buzness na Roma" hii ni kauli yake Izzo Buzness aliyoitoa kwa media hii leo na jamaa amesisitiza kuwa wao ni marafiki wakubwa na isitoshe wote wametoka sehemu moja yaani Mbeya. Izzo amesema ilikuwa ni ishu ya bihashara tu kukuza vyao vipato na majina mjini hapa.

BC Crew

TUHUMA ZA UTAPELI ZIDI YA RICH ONE

Mtu mzima Rich One aeleza kinaga ubaga tuhuma zilizopo dhidi yake juu utapeli. Msanii wa Bongo Flava Rich One hivi karibuni aliswekwa selo kwa siku moja baada ya kutuhumiwa kufanya utapeli juu ya msanii mwenzake Alli Kiba. Rich One amekana tuhuma hizo na hadi sasa kesi ipo bado chini ya uchunguzi wa polisi na Rich One yupo nje kwa dhamana. Kaa nasi kwa habari zaidi.

BC Crew

Saturday, May 5, 2012

BLUES CELEBRATE THEIR FOURTH FA CUP TRIUMPH IN SIX YEARS!!

A quality starved fist half was punctured only after 11 minutes when Ramires capitalised on a series of Liverpool errors to burst down the right and slot into the net.
2-1 scores gave Chelsea the victory against Liverpool in FA cup championship.
Drogbas historic finish soon after half-time looked to have Chelsea comfortable but Andy Carroll came off the bench for Liverpool to slam home an emphatic finish shortly past the hour.
He thought he had pulled off an astonishing comeback in the 82nd minute when he powered a header at the far post, but somehow Petr Cech was able to claw it back before crossing the whole of the line, those few millmetres securing the Blue's triumph as they held off a furious final assault.
BC Crew

Thursday, May 3, 2012

"We're living in the Real Madrid era" - Karanka

The Real Madrid assistant coach Aitor Karanka believes his side winning the La Liga tittle is the start of an era for the Santiago Bernabeu side.
Madrid have two games to go in this season after the great victory they got from Athletic on Wednesday. Madrid beat Athletic Bilbao 3-0 to secure the legue tittle.
This made Karanka to believes they throughly deserve their success after overcoming Barcelona in a drawn out battle.

BC Crew

Wednesday, May 2, 2012

Afande _ "VIPARA, VITAMBI AU RASTA SIYO SABABU YA KUWA KIONGOZI"

Afande Sele a.k.a mtu poli toka Moro awaelezea watanzania juu ya uwezekano wake wa kugombania ubunge mkoani Morogoro a.k.a mji kasoro bahari. Afande amezungumza hilo sanjari na tukio lake la juzi la kupigwa na polisi na wagambo lilompelekea kusweka jela. Haina mbaya mkubwa kila la kheri katika mbio hizo za ubunge mheshimiwa!

BC Crew